
Lucinda Dickey aka Kelly ni mmoja wa washiriki wa sinema ya muziki wa BreakDance ambayo ilitamba sana miaka ya 1984 akiwa na wenzakekama Michael Chambers aka Electric Boogaloo pamoja na Adolfo Quinones aka Shaba-doo. Pia ameshiriki kwenye baadhi ya Sinema kama Ninja III: The Domination (1984), Cheerleader Camp (1988), The Case of the Defiant Daughter (1990) , Breakin' 2: Electric Boogaloo...