Tuesday, July 19, 2011

Kid N' playWacheki kwenye muvi yao inayokwenda kwa jina la House Party (i),(ii) wamo pia Queen Latifah na mastaa wengine kama Martin Lawrence ...
Cheryl james (Salt) , mwenyeji wa Brooklyn pamoja na Sandi Denton (Pepa) , mwenyeji wa kingston jamaica, kwa mara ya kwanza walikutana shule wakiwa waansomea mambo ya Uuguzi (nursing) huko queens college katikati ya miaka ya themanini. Hurby azor mwanafunzi mwenzao aliyekuwa anasomea media arts ndiyo aliyegundua vipaji vyao. Mwanzoni walikuwa wakijulikana kwa jina la super nature kabla ya kubadili...
Jamaa ameanzia mbali sana hapa ni mwaka 1983 akiwa kama mc kwenye sinema iliyojipatia umaarufu mkubwa iliyoitwa Breakin' 2 akiwa na washiriki wengine kama Electric Boogaloo, Shebadoo pamoja na Lucynda Dick...
Jamaa anaitwa Jalil White maarufu kama Steave alikuwa kwenye Comedy ya Family Matters pia ameonekana kwenye sinema nyingi mbalimbali. Hivi karibuni alitokea kwenye sinema ya Dreamgirls ya mwaka [2006] akiwa na mastaa kama Eddie Murphy, Jammie Fox, Vivica Fox, Beyonce, Jenifer Hudson na wengine wen...