Monday, February 1, 2010



Waasisi wa Bongo Hip Hop NiggaOne kulia na D-Robby kushoto enzi za uhai wao kama wanavyoonekana, huwezi kuongelea bongo fleva ilivyoanza bila kuwataja hawa jamaa. Stori zaidi kuhusu jamaa walivyoitambulisha bongo fleva hapa nchini inakuja hivi karibuni, tega mingo!

1 comment:

  1. Du mzee umetukumbusha mbali sana lakini yote kazi ya mungu

    ReplyDelete