Tuesday, July 19, 2011

http://static.nme.com/images/gallery/74279161getty.jpg
Kid N' play
Wacheki kwenye muvi yao inayokwenda kwa jina la House Party (i),(ii) wamo pia Queen Latifah na mastaa wengine kama Martin Lawrence nk.

http://salt-n-pepa.org/wp-content/uploads/2009/07/VMA96-Salt-N-Pepa.jpg
Cheryl james (Salt) , mwenyeji wa Brooklyn pamoja na Sandi Denton (Pepa) , mwenyeji wa kingston jamaica, kwa mara ya kwanza walikutana shule wakiwa waansomea mambo ya Uuguzi (nursing) huko queens college katikati ya miaka ya themanini. Hurby azor mwanafunzi mwenzao aliyekuwa anasomea media arts ndiyo aliyegundua vipaji vyao. Mwanzoni walikuwa wakijulikana kwa jina la super nature kabla ya kubadili na kujiita Salt n' Pepa. Miongoni mwa nyimbo yao ya kwanza ni hot, cool & vicious—ulioandikwa na kutengenezwa na hurby "the lovebug" azor. Push it ni wimbo wao mwingine pia uliwapa chati kubwa tu. Mwaka 1987 Dee dee roper ("spinderella")alijiunga na kundi na ndio alikuwa JD wa kwanza mwanamke. Wimbo wa 'Push it' ulitoka kabla ya Spinderella hajajiunga na kundi hilo lakini aliweza kuuza sura kwenye video yake. Wimbo huo uliweza kuuza mamilioni ya nakala na kuweza kuwapatia tuzo yao ya kwanza ya grammy baada ya kuwa the best rap performance.
Hivi sasa kundi hilo halipo tena katika ulimwengu wa rap.

Jamaa ameanzia mbali sana hapa ni mwaka 1983 akiwa kama mc kwenye sinema iliyojipatia umaarufu mkubwa iliyoitwa Breakin' 2 akiwa na washiriki wengine kama Electric Boogaloo, Shebadoo pamoja na Lucynda Dickey.