Tuesday, July 19, 2011

Jamaa anaitwa Jalil White maarufu kama Steave alikuwa kwenye Comedy ya Family Matters pia ameonekana kwenye sinema nyingi mbalimbali. Hivi karibuni alitokea kwenye sinema ya Dreamgirls ya mwaka [2006] akiwa na mastaa kama Eddie Murphy, Jammie Fox, Vivica Fox, Beyonce, Jenifer Hudson na wengine wengi.

0 comments:

Post a Comment